
Hali halisi ni kwamba tunaangalia mpira kwa tabu sana, tunaomba ile projecta kwenye mechi kama hizi iwepo. Tunaomba uongozi ujaribu kuliona hili kwani watu wakiwa wengi uono unakua mdogo sana.
Tv pekee haitishi watu endapo watajaa ukikaa mita tatu basi ujue hutaona vizuri.
No comments:
Post a Comment