Saturday, February 9, 2013

TIMU YA MPIRA WA MIGUU YAICHAPA 2 - 1 TIMU YA FITI


Kwanza mnapewa hongera sana vijana wa FTI kwa ushindi huo kwani mmefuta majonzi yenu kwa kufungwa na MWEKA siku chache zilizo pita. Nawapongeza sana kwa kufanya poa, pongezi zaid zimwendee Nahodha wa timu hiyo, Mnachotakiwa ni kukaza buti tu wazazi. makamanda wenu tutakao baki tutawakilisha vema msijali

No comments:

Post a Comment